JE WAJUA PATRICK MATASI NI KIPA WA KWANZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KUMSHIKIA PENALTI MSHAMBULIAJI MATATA WA SENEGAL NA MABIGWA WATETEZI WA KOMBE LA UEFA LIVERPOOL,SADIO MANE?
Hivi
karibuni mchezo wa kandanda imejulikana kuwa mchezo ambayo historia mengi huandishwa
pale kisa ambacho kimewavutia na kutega wafuasi wengi duniani.
Hapo
awali tumekuwa tukiwaona wachezaji na vilabu tofouti duniani hasa katika nchi
za ulaya wakiingia katika vitabu vya kumbukumbu na kufanya vilibu hizo na
wachezaji hao kuheshimika zaidi.Badhi ya wachezaji waliofahimika kuwika katika
enzi zao na kusalia kwa vinywa vya wengi hadi wa Leo ni Kama vile Diego
maradona ambaye alisaidia taifa lake la Argentina kunyakua kombe la dunia mwaka
wa 1986. Alifahamika sana kwa welendi wake na kuchenga kwingi. Pele ambaye ni
raia was Brazil pia ni mchezaji mwingine ambaye anakumbukwa na wengi. Nyota
huyo aling`aa sana katika dimba la kuwania kombe la dunia katika miaka ya 60 na
70. Ni mchezaji mdogo duniani kuwahi shiriki katika dimba la kuwania kombe la
dunia akiwa umri wa miaka 16. Aliweza kuisadia taifa lake kunyakua taji hilo
mara tatu mnamo mwaka wa 1958, 1962 na 1970.
Historia haukukomea hapo hadi ulimwengu wa sasa wachezaji wanaendelea kuandikisha historia tofouti katika mchezo huu kwa mfano mwaka elfu mbili na tisa mchezaji;Christiano Ronaldo alingia katika vitabu vya kumbukumbu kuwa mchezaji ghali zaidi duniani. Real Madrid walimtwaa nyota huyo kutoka Manchester United kwa pauni milioni 94. Badhii ya wachezaji ambao bei yao ya uhamimisho ilitetemesha dunia ni Kama vile zinedine zidane (milioni 73.5), Zlatan Ibrahimovic ( milioni 69.5) Kaka wa Brazil (65 milioni).
Mwaka
jana beki wa Manchester United aliadikisha historia katika ulimwengu wa soka
kuwa beki ghali zaidi duniani. Klabu ya Manchester United walimtwaa mchezaji
huyo kutoka Leicester City kwa pauni milioni 80 na pauni milioni tano ambazo
ziliongezeka baadae.
Continenti
la Afrika haukuwachwa nyuma wachezaji wengi wameweza kuwika na kuonyesha
umahiri jambo ambalo limewafanya wachezaji wao kwenda kuchezea vilabu kubwa
katika nchi za ulaya.Wachezaji hao ni pamoja na Dider Drogba,Samuel Etoo,
Adebayor, Solomon kolou,Riyad Mahrez,Sadio mane, Victor wanyama,Mabwana samatta
na wengine wengi.
Mnamo
tarehe mosi Julai mwaka wa 2019,katika uwanja wa 30 June Air Defence, katika
mchuano wa kuwania kombe la Afrika AFCON, kipa wa timu la taifa la kenya
Harambee Stars alingia katik a vitabu vya kumbukumbu Afrika mashariki na kati
baada ya kumnyima bao la penalti nyota wa Senegal na mshambuliaji maarufu wa
mabigwa watetezi wa kombe la UEFA bara ulaya Liverpool, Sadio mane. Patrick
Matasi wa umri 32 ambaye amewahi kuichezea klabu tatu katika ligi ya Kenya
ikiwemo Afc leopards (2011) Posta rangers (2015) na Tusker (2018) alionyesha
umahiri mkuu wake katika mechi hiyo kisa ambacho kiliwafanya wakenya kumiminia
sifa sufufu na kumfananisha na kipa nambari ya kwanza wa Manchester United
David Dea Gea
| Kipa wa Harambee stars Patrick Matasi akipangua penalti ya mshambuliaji wa Senegal Sadio Mane katika mchuano wa kuwania kombe la AFCON nchini mnamo tarehe mosi Julai 2019 katika uwanja wa 30 June Air Force picha/AFP |
Patrick Matasi alionyesha mchezo mzuri na ya kuvutia baada ya kupakua mabao mengi ya nyota wa Senegal :Deny niang,Ismaila sarr,Henri saviet na kalidou koulibaly pamoja na penalti ya Sadio Mane katika kipindi cha kwanza na kufanya mechi hiyo kipindi Cha kwanza kuishia sare ya bila.Kipa huyo aliweza kusimulia jinsi alivyoweza kuipangua penalti kuwa alimwona macho yake Mane na hivyo alijua mahali angepiga mpira huo na akaweza kuipangua penalti hiyo
Ingawa timu ya Harambee stars hawakufuzu katika kundi C ,Patrick Matasi aliandikisha historia kuwa kumlinda lango wa kwanza katika mashindano hayo tangu mwaka wa 2015 kuipangua penalti katika michuano
hayo. Mchezo wake mzuri uliwafanya vilabu vingi kummezea mate mchezaji huyo wa
taifa Harambee stars na anayechezea klabu ya Saint George SC nchini hivi sasa
@langat nathan7

Oh,ukweli kabiza.
ReplyDeleteLisukume gurudumu la spotii๐๐
ReplyDeleteSafi kaka
DeleteMatasi alituwakilisha vizuri sana, kazi nzuri kaka
ReplyDeleteKabisa kaka
DeleteKazi safi kaka
ReplyDeleteAsantii kaka
DeleteMatasi all the waaaaaaaaaay, kazi safi
ReplyDeleteAsante man
Deletekazi nzuri kwake matasi,....pia na wewe bro kazi nzuri๐๐ peperusha spoti⚽⚽⚽
ReplyDeleteAsantii kaka
DeleteAliandikisha historia Kali bruh ..keep them coming through
ReplyDeleteSafii bro
DeleteNice Article bro...Keep going#Norman
ReplyDeleteThankyou man ingine inakuja
DeleteThanks man,ingine inakuja
DeleteMfunjaji recodii
DeleteSafii Kaka
ReplyDeleteExcellent analysis of best players, keep it up,,
ReplyDeleteExcellent analysis
ReplyDeleteKakangu kazi nzuri
ReplyDeleteKazi nzuri kakangu
ReplyDeleteSwafy kabisa ila wakati mwingine soma kazi yako vizuri kabla ya kuichapisha ili kuepuka makosa madogomadogo ya sarufi kuzuia kutomchosha msomaji
ReplyDeleteSafi brayo
DeleteCool ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
DeleteCool Sana๐ฅ๐ฅ๐ฅ
ReplyDeleteCool Sana๐ฅ๐ฅ๐ฅ
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteAsantee kaka
DeleteKazi nzuri sana
ReplyDeleteAsante
DeleteNice article... keep it up
ReplyDeleteThank you Joy
DeleteKazi nzurii
ReplyDeleteSwadakta kazi njema ndugu
ReplyDeleteSwafy Sana kazi nzuri
ReplyDeleteSadakta
ReplyDeleteSafii
ReplyDeleteNice man
ReplyDelete